Header Ads

MALI,AFIKISHWA KWA KUHARIBU MAKAZI.

Image copyrightAFP
Image captionAfikishwa ICC kwa kuharibu makavazi
Mshukiwa wa kundi la wapiganaji wa Kiislamu, anayetuhumiwa kuharibu makavazi ya kihistoria nchini Mali, anatarajiwa kufikishwa mbele ya mahakama ya kimataifa ya ICC wakati wowote kuanzia sasa.
Anatuhumiwa kuteleza uhalifu wa kivita.
Image captionAhmad Al Faqi Al Mahdi, alikabidhiwa kwa mamlaka kuu nchini Niger siku ya Jumamosi.
Ahmad Al Faqi Al Mahdi, alikabidhiwa kwa mamlaka kuu nchini Niger siku ya Jumamosi.
Anasemekana kuamrisha au kutekeleza uharibifu katika makavazi ya kale huko Timbuktu.
Image copyrightAFP
Image captionUharibifu huo ulitokea wakati mji huo ulikuwa umekaliwa na makundi ya waasi
Uharibifu huo ulitokea wakati mji huo ulikuwa umekaliwa na makundi ya waasi kwa kipindi cha miaka mitatu.
Hii ni mara ya kwanza kwa mtuhumiwa kukabiliwa na makosa ya uharibifu wa maeneo ya kihistoria katika sheria mpya ya mahakama ya jinai na makosa ya uhalifu wa kivita ya ICC.

No comments

Powered by Blogger.