Header Ads

MANCHESTER UNITED KUMUACHA VALDES


Manchester United ipo tayari kumwachia kipa wake Victor Valdes aondoke bure lakini kwa sharti moja. Sharti hilo ni kwamba kipa huyo asijiunge na timu yoyote ya Premier League hiyo ikimaanisha kuwa ni lazima akacheze nje ya England. Kipa huyo wa zamani wa Barcelona amekuwa kwenye mgogoro mkubwa na kocha Luis van Gaal na mara kadhaa w

No comments

Powered by Blogger.