Header Ads

NIKKI MINAJI NA KIPAJI CHA UIGIZAJI CHEKI HAPA MDAU

Wengi tunamjua Nicki Minaj kama msanii wa HipHop mwenye hit songs nyingi kamaSuper Bass, Anaconda na Feeling Myself… Lakini ulishawahi kuvuta picha ya Nicki Minaj kama msanii wa kuigiza? Producer wa tamthilia je?
NICKI2
Kama wewe ni shabiki wa Nicki Minaj basi ichukue hii mtu wangu, kituo cha TV cha ABC Family cha Marekani kimetangaza kuwa rapper huyo kutoka Cash Money Recordsataonekana kwenye series mpya ya comedy itakayokuwa inagusa maisha binafsi ya msanii huyo!
NICKI
Taarifa zinasema kwamba Nicki Minaj atakuwa producer wa series hiyo na pia ataonekana ndani ya series hiyo… japo inawezekana Nicki Minaj akatafuta mtu wa kuigiza kama yeye, hii ni kutokana na tweet alioipost kwenye page yake ya Twitterikiashiria kama ataingia mtaani kutafuta vipaji vya kuigiza kwenye nafasi yake kwenye series hiyo…
NICKI2
Tutegemee vitu vizuri kutoka kwa Nicki Minaj soon

No comments

Powered by Blogger.