Header Ads

MIX TAPE YA DRAKE KUSHIKA NAFASI ZA JUU KWENYE CHATI ZA BILLBOARD

Hip Hop Marekani Drake naFuture… mixtape yao ya What a Time to Be Alive imeweka headlines nyingi sanaMarekani na kwenye chati mbalimbali za muziki moja wapo ikiwa chati ya Billboard.
waka huu umekuwa poa sana kwa mastaa wa muziki wa 
June 20, 2015 -- ATLANTA -- Drake makes a surprise appearance Future at Birthday Bash 20. (Akili-Casundria Ramsess/Special to the AJC)
What a Time to Be Alive mixtape ya Future na Drake imegusa no.1 kwenye countdown chart ya Billboard 200! Mixtape hiyo ambayo awali iliuza zaidi ya copy 375,000  chini ya mategemeo ya wasanii hao imefanikiwa kugonga namba moja kwenye chati hiyo ndani ya wiki chache.
drizzfewtch3
Drake.
Kwa Drake na Future mwaka huu umekuwa poa sana kwao kwani miezi michache iliyopita mixtape ya Drake ‘If You Are Reading This Its Too Late’ iligusa no.1 kwenye chati hiyo ya Billboard 200… Future naye hakuwa mbali sana kwani hata mixtape yake ya DS2 LP ilifanikiwa kuhit nafasi ya kwanza pia kwenye chati hiyo!
drizzfewtch4
Future.
Kwa mujibu wa mtandao wa Billboard Future na Drake ni wasanii pekee mwaka huu wenye no.1 mbili kwenye chat ya Billboard 200 na mara ya mwisho msanii wa hip hop kushika nafasi hiyo mara 2 ndani ya mwaka mmoja alikuwa ni rapper Jay Z mwaka 2004!

No comments

Powered by Blogger.